Twanga Pepeta katika Tamasha la Chagga Day



Mirinda Nyeusi kwenye jukwaa la Twanga in full pink





katika viwanja vya Leaders Club kulikuwa na shamra shamra mbali za kuadhimisha siku ya Wachagga, kulikuweko na vinywaji mbalimbali na vyakula mbalimbali vya asili ya Uchaggani, kwa wapenzi wa nyama hali ilikuwa safi sana African Stars Band na Msondo Ngoma Music band walikuweko pata picha

Comments