Nani kama Khadija Kopa?Jahazi Modern Taarab wakishirikiana na Khadija Kopa leo wamefanya show kubwa ya kuashiria kuanza kipindi cha mfungo kwa kuteka mamia ya wapenzi wa muziki wa Taarab katika ukumbi wa Traventine, Magomeni. Ninachoweza kusema ilikuwa muziki in full force a wasanii wakionekana wazi wakijituma ili kuboresha show yao. Nani kama Khadija Kopa?

Comments