Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma
Africa Band" aka FFU, inatarajiwa kupanda jukwaani kesho Jumamosi tarehe
26 May, mjini Stuttgart,Ujerumani kutumbuiza
katika sherehe ya siku ya taifa la Cameroon. Ngoma Africa Band
watakuwa katika ukumbi wa Arena la Sportpark Feuerbach, uliopo
mtaa
(Triebweg 85, 70469 Stuttgart) ,Wakamerooni wapatao 5,000
wanaoishi ujerumani pamoja
Comments