Martin Sospeter (kushoto) |
Mkurugenzi wa African Stars Asha Baraka ametangaza kumfukuza kazi Meneja wa Bendi ya African Stars Band bwana Martin Sospeter. Kati
ya sababu ambazo zimepelekea Meneja huyo kuchukuliwa hatua hiyo ni pamoja na
kinachodaiwa kuwa na mipango ya kushawishi wanamuziki wa bendi hiyo kuhamia
bendi nyingine mjini ya Mashujaa Muzika
Comments