Wazee Sugu 2


Issa Nundu

Kibambe Ramadhani

Kidawa

Shabaan Manyanya

Baada ya Bendi ya Wazee Sugu chini ya King Kiki kuweko katika ulimwengu wa muziki kwa miaka mingi hatimae ameweza kuanzisha Wazee Sugu na 2, bendi yenye wanamuziki wakongwe na mahiri kama Wazee Sugu 1. Hawa hapa ndio wanamuziki wa bendi hiyo ambayo inapiga vizuri japo lingekuwa jambo jema kama ingepata vyombo bora zaidi. Leo hii nimewakuta wakiwa Leaders Club

Comments

Anonymous said…
Wangemuongeza na mzee Kassongo Mpinda hapo kutimiza timu yao
Abbu Omar Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo Japan.