Thursday, March 1, 2012

Isha Mashauzi na Mashauzi Classic Taarab leo walikuwa wakiendelea na mashindano ya kucheza kiduku

Leo nilitembelea Mango Garden Kinondoni na kumkuta Isha Mashauzi na kundi lake ambalo kila mara linazidi kufanya mambo ambayo hayajawahi kuweko katika anga za Taarab. Leo hii nimekuta nusu fainali ya mashindano ya kucheza kiduku, staili ambayo inatumiwa siku hizi na wacheza shoo wa Taarab. Nimekuta makundi manane yanachuana
IshaNo comments:

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...