Skip to main content
Bennny Omar na Abou Omary wapata msiba mkubwa
|
Abuu Omar |
|
Benny Omar |
Wanamuziki Abuu Omary, na Benny Omary wamefiwa na baba yao mzazi jana Jumatano 14 March 2012 baada ya afya yake kudhoofu kwa kipindi kirefu. Abuu alijulikana kama Profesa alipokuwa na Les Wanyika akipiga gitaa la rythm kwa sasa anaishi Tokyo Japan akiendelea na shughuli za muziki, wakati mdogo wake Ben yupo Dar es Salaam akiendeleza muziki. Tunawaombea Mungu awape faraja, na Baba yetu alale pema peponi Amina
Comments