Twanga Academy wako biziii si mchezo

Wiki chache zilizopita Bi Asha Baraka Mkurugenzi wa African Stars, alitangaza kuanzisha Twanga Academy, ambapo kingekuwa kituo cha kugua vipaji.
 Leo nimepita na kujionea mwenyewe jinsi alivyofanya kwa vitendo ahadi zake. Nimemkuta Komando Hamza Kalala akiwa anaangalia maendeleo ya shughuli nzima Big Up Twanga Academy
Kushoto Komandoo Hamza KalalaComments