Shaaban Dede ambaye nae amewahi kuhama kutoka Sikinde na kwenda Msondo mara kadhaa,Katikati ni Ally Jamwaka, kulia mwisho ni Shaaban Lendy |
Mpiga saxaphone mkongwe Shaaban Lendy amerudi tena katika kundi la Msondo Group ambalo aliwahi kuweko miaka ya nyuma. Msondo wamekuwa kwa muda mrefu wakiwa na wapiga trumpet tu, tofauti na mfumo wa miaka mingi wa Msondo ambapo kulikuwa na Tenor Sax, Alto Sax na trumpet kadhaa. Sasa tutaweza kusikia tena utamu wa mchanganyiko wa Sax na trumpet katika nyimbo za Msondo
Comments