Tuesday, February 21, 2012

Mapacha Watatu Coco Beach

Kila Jumanne, Mapacha Watatu huporomosha rhumba kali pale Coco Beach. Kama kawaida Jumanne ya wiki hii niliwapitia na kupata raha kwa muda. Ni ukweli usiopingika Chokoraa, Jose, Kalala ni waimbaji wazuri sanaNo comments: