Monday, February 13, 2012

Kilimusic Awards nominees 2012

Kwa mara nyingine tena Kilimusic Awards zimerudi tena. Waandaaji wamekuja na mapendekezo ya majina -Nominees- kwa ajili ya kupewa tuzo. Kwa maelezo zaidi na orodha kamili ya washiriki bonyeza maneno yafuatayo-KILIMUSIC AWARDS

No comments:

JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...