MATONYA EUROPEAN TOUR 2012.
Kwa mara nyingine tena Matonya atafanya ziara nyingine ya kimuziki Ulaya. Jumamosi tarehe atakuwa Munich Ujerumani katika ukumbi wa Thearter Fabrik, Friedenstr 10., kiasi cha mwendo wa dakika 3 kwa miguu kutoka Ost bhf.
Matonya Anawakaribisha sana — Hebu msikilize hapa
Comments