Skip to main content
Barnaba kuzindua Magumegume
Moja wa waimbaji bora Tanzania,Barnaba, siku ya Jumapili 29, ataiweka wazi single yake ya Magumegume katika ukumbi wa Bilicanas, atasindikizwa na convoy kubwa la waimbaji na wasanii wenzie kwa shilingi 6,000 tu. Patakuwa patamu sana
Comments