Rais wa Shirikisho Simon Mwakifwamba |
Taff- Shirikisho la Filamu Tanzania, mchana huu wamefanya uchaguzi mkuu na kupata viongozi wao, Ifuatayo ni orodha ya viongozi hao.
Simon Mwakifwamba alichaguliwa tena kuwa Rais wa Shirikisho hilo. Katika uchaguzi huo pia walichaguliwa wajumbe kumi nao ni
i. Wilson Makubi
ii. Mike Sangu
iii. Christian Kauzeni
iv. Makame Bajomba
v. Emmanuel Myamba
vi. Deosonga Njelekela
vii. John Kallaghe
viii. Ally Baucha
ix. Maureen Mvuoni
x. Mwanaharusi Hela
Uchaguzi ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa BASATA chini ya usimamizi wa Anjelo Luhala na Omari Mayanga maofisa wa BASATA. Pamoja na mvua bado uchaguzi ulihudhuriwa na wajumbe wa kutosha na ulifanyika katika hali ya utulibu.
Kati hali inayoonyesha kuna jitihada zinaendelea za wadau upande wa filamu kuwa katika mikakati ya kujipanga Chama Cha Waandishi wa Filamu Tanzania Tanzania Scriptwriters Association (TASA) nao walifanya uchaguzi tarehe 19/12/2011 VIJANA HALL KINONDONI. Waliochaguliwa ni:-
1. Abdul Maisala -Mwenyekiti
2. Kimela Billa -Makamu Mwenyekiti
3. Samwel Kitang’ala -Katibu
4. Subira O.Nassor Chuu -Mweka Hazina
5. Mike Sangu -Mjumbe
6. Dimo Debwe -Mjumbe
7. Ramadhani King’aru -Mjumbe
8. Badru M Soud -Mjumbe
9. Amos Banzi -Mjumbe
10. Nasir Mohamed -Mjumbe
11. Christian Kauzeni -Mjumbe
12. Pierre Mwinuka -Mjumbe
13. Eric Chrispin -Mjumbe
Kati hali inayoonyesha kuna jitihada zinaendelea za wadau upande wa filamu kuwa katika mikakati ya kujipanga Chama Cha Waandishi wa Filamu Tanzania Tanzania Scriptwriters Association (TASA) nao walifanya uchaguzi tarehe 19/12/2011 VIJANA HALL KINONDONI. Waliochaguliwa ni:-
1. Abdul Maisala -Mwenyekiti
2. Kimela Billa -Makamu Mwenyekiti
3. Samwel Kitang’ala -Katibu
4. Subira O.Nassor Chuu -Mweka Hazina
5. Mike Sangu -Mjumbe
6. Dimo Debwe -Mjumbe
7. Ramadhani King’aru -Mjumbe
8. Badru M Soud -Mjumbe
9. Amos Banzi -Mjumbe
10. Nasir Mohamed -Mjumbe
11. Christian Kauzeni -Mjumbe
12. Pierre Mwinuka -Mjumbe
13. Eric Chrispin -Mjumbe
Comments