Rais amtembelea msanii wa Ze Comedy hospitalini

 

Rais Jakaya Kikwete amemtembelea msanii wa kikundi cha Ze Comedy Joseph Shamba, ambaye amelazwa katika hospitali ya Muhimbili. Joseph Shamba ambaye ni maarufu kwa jina la  Vengu amekuwa na matatizo ya afya kwa kipindi sasa na amekuwa akiingia na kutoka hospitalini siku za karibuni. Blog hii inamuombea apone haraka na kurudi kwenye fani yake aliyoipenda.

Comments