Dully Sykes aka Mr Misifa, kutua India kuanza shows tarehe 28 Oktoba.

Haya tena wapenzi wa burudani India Dully Sykes aka Mr Misifa atatua India kwa ajili ya maonyesho kadhaa. Tarehe 28 atakuwa Hyderbad, 29 atakuwa Mysore na 30 atakuwa Bangalore. WaTZ wote tumiminike kumsikia na kumwona superstar wetu akifanya mambo yake jukwaani. NAMASTE kwa saaaaana

Comments