Papa zi kuwa mdhamini mwenza katika Vodacom Miss Tanzania 2011


Zachary Hans Pope na Hashim Lundenga

Warembo washiriki wa mashindano ya Vodacom Miss Tanzania

Warembo washiriki wa Vodacom Miss Tanzania
Mkurugenzi wa Papa Zi Arts and Entertaiment, Zachary Hans Pope ametangaza udhamini wa kampuni yake katika shindano la Vodacom Miss Tanzania. Akiwa na Mkurugenzi wa Lino International Agency, waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga, Mkurugenzi huyo alitangaza kuwa kampuni yake itadhamini warembo watatu watakaopenda kujiingiza katika Ulimwengu wa sanaa za maigizo katika filamu, pia atakaye kuwa Miss Papazi atapata US$ 1000, Bwana Pope alisema kuwa Papazi pia itaongeza zawadi kwa washindi wa tatu wa mwanzo wa Vodacom Miss TanzaniaComments