Kasaloo Kyanga Hatunae tena. Kasaloo Kyanga is no more

Kasaloo Kyanga, a great composer and singer is dead. He will be remembered by his evergreen hit songs like Kalubandika (Maquis Original), Masafa Marefu and Nimemkaribisha Nyoka, Kashasha(Tancut Almasi Orchestra)

Comments

Ogonga said…
We'll never ever stop think about him (Maestro)! for your endless and nicelly composed song's! May almighty GOD rests his soul!
Anonymous said…
Pumzika kwa amani Kasaloo, kweli tenda mema uende zako huyu mtu ni "legend" katika utunzi/uimbaji bora, leo anaondoka Tanzania tuko kimya hivi? Unbelivieble!
Anonymous said…
true unsung hero of Tanzania music. RIP ulitumbuiza na nyimbo zako bado ni tamu kila tukizikiliza. najua sasa utakuwa umeungana na pacha mwenzako kyanga SONGA. NYIE WAWILI ILIKUWA KITIMTIM enzi zenu! ahsanteni sana kyanga boys for the fun and great music time u gave us. Hakika ulikuwa kwenye class moja na akinA Marijani, mwinshehe na TX Moshi.
Anonymous said…
Ksaloo Kyanga,utakumbukwa daima kwa mchango wako ulioutoa katika fani ya muziki Tanzania,mimi binafsi niliupenda uimbaji,utunzi wao walipokuwa katika bendi zote walizopitia,Na bendi yangu kipenzi ni Tancut Almasi orch.nilipenda uimbaji,arrangement na miziki yote ya Tancut kwa ujumla."This world is
not our home we are just passing through"
R.I.P Kasaloo Kyanga.
Abbu Omar Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.