Sunday, September 4, 2011

Henry Mkanyia and the Fine Travellers Band


Henry Mkanyia


Kiara

   
Henry Kifunda(Mgosi)Fine Travellers Band ni kundi la wanamuziki mahiri ambao huporomosha muziki katika hoteli ya Fine Traveleers pale Sinza kila Ijumaa Jumamosi na Jumapili, muziki safi kwa wapenzi wa zilipendwa. Katika kundi yuko mpiga gitaa mwenye historia ndefu Henry Mkanyia


No comments:

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...