Wanamuziki wawili wafiwa na baba zao wiki hii

  
Wanamuziki Carola Kinasha na Tom Nhigula wamefiwa na Baba zao wiki hii. Mzee Nhigula amezikwa katika makaburi ya Kinondoni wakati Mzee Kinasha atazikwa mwisho wa wiki Longido. Mungu awalaze Baba zetu mahala pema peponi Amen.


Comments