Wednesday, August 24, 2011

TANZANIA MUSIC TELEVISION

UKITAKA KUANGALIA VIDEO ZA MUZIKI WA TANZANIA KUPITIA INTERNET UNAWEZA KUFANYA HIVYO SASA KUPITIA TELEVISION MPYA ILIYOKO HEWANI TMTV.
CHANELI HII ITAKUWA NA VIPINDI VIFUATAVYO:

1.BONGO BOX
2.SALAMU BOX
3.BENDI ZETU
 4.TAARABU
5.ZILIPENDWA
6.NYIMBO ZA DINI 
7.VIPAJI
8. HABARI ZA MUZIKI
9.SWAHILI HIP-POP
10.NYIMBO ZA UTAMADUNI

ILI KUBORESHA UFANISHI WA CHANELI TUNAWEZA KUTOA  MAPENDEKEZO  KUPITIA:
info@tmtv.co.tz
UKITAKA KUANGALIA TV BONYEZA HAPA

KWA KOMPYUTA NYINGINE UTALAZIMIKA KUDOWNLOD  SOFTWARE YA MICROSOFT SILVER LIGHT KWA AJILI YA KUANGALIA TV.
SOFTWARE ITAJITOKEZA KTK SCREEN KWA AJILI YA KUDOWNLOAD.  
 

No comments:

JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...