Ngoma Africa jukwaani Afrika Festival

Bendi ya Ngoma Africa  aka FFU yenye maskani yake nchini ujerumani  inatarajiwa kutumbuiza  katika onyesho lingine kubwa la Afrika Festival, mjini Tuttlingen, huko
Ujerumani ya kusini. Kamanda Ras Makunja atakiongoza kikosi chake
jukwaani siku ya jumamosi 27.08.2011
Wakali hawa wa muziki wa dansi kwa sasa wanatamba na nyimbo zao mbili mpya
"Bongo Tambarare " na "Supu ya mawe" wasikilize zaidi at www.ngoma-africa.com
tafadhali usisahau ku log in at www.ngoma-africa.com

Comments