Jumamosi ya harusi

Jana Jumamosi nilikuwa nina hamu ya kutembelea bendi mbalimbali, nikagundua bendi nyingi zimekodishwa kupiga kwenye harusi. Tanzanites na B Band, walikuwa Movenpik kwenye harusi, InAfrika walikuwa Ilala kwenye harusi, Grumet Mamba walikuwa Msimbazi kwenye harusi. Imeanza kuwa kawaida kuwa na bendi kwenye harusi. Nitwangie 0713 274747 ili nikuunganishe na bendi unayoitaka

Comments