Assossa na Kasongo |
King Kiki |
Kasongo Mpinda Clayton |
Ben |
Tchimanga |
Kabeya Badu |
Kila Jumatano katika ukumbi wa Mzalendo, Millenium Tower wanamuziki wa zamani, wengi wao wakiwa wa asili ya Kongo wamekuwa wakiporomosha muziki wa enzi hizoooo.Miamba kama King Kiki, Tchimanga Assossa, Kasongo Mpinda huporomosha muziki hapo, vibao kama Safari yetu Mbeya(Maquis), Kibela(MK Group), nyimbo mbalimbali za Safari Sound, Kasheba Group, Zaita Muzika na bendi nyingine nyingi husikika hapo ni burudani kwa wapenzi wa muziki wa enzi hizo
Comments