Utunzi wake Lister wetu jazz la nguvu


Lister ni mwanamuziki wa Kitanzania anaefanya muziki Japan. Wengine mtamkumbuka aliwahi kupigia bendi kama MK Group, Safari Sound, Orchestra Sambulumaa na kadhalika sikiliza muziki wake sasa

Comments

Anonymous said…
Bro Kitime,shukran kwa kutuletea vitu kama hivi.Huyu jamaa ni Pianist/Keyboardist mkali sana.Nimebahatika kumuona jukwaani akipiga Piano Nairobi,kwenye hoteli ya kitalii ya Jacaranda(westlands)anatisha.
Pia nilimuona kwenye maonesho ya Sauti za Busara pamoja na Fresh Jumbe.Kusema kweli bendi yao ilikuwa bendi bora kati ya bendi zilizoshiriki katika tamasha lile.

Inatia moyo kuona wanamuziki wetu
wanapanda kimuziki hadi viwango kama hivi katika jukwaa moja na wanamuziki wengine duniani.

Brother Lister,tunajivunia uwepo wako huko uliko,endelea kutuwakilisha.

Mdau mpenda muziki(UK)
Anonymous said…
Superb bro!,keep it up....really this is something we should be proud to see one of our own doing fabulously well.

Big up! big up!...hopefully you will be a perfect role model to the
new generation of musicians.

Mdau(UK).