Joseph Kusaga Mafumu Bilali na Juma Ubao |
Kama kawaida yao TANESCO walikata umeme ikawa ni muda wa kutia stori, Joseph Kusaga, Ruge Mutahaba, top management ya Clouds ambao ndio wafadhili wa shughuli yote ya recording na onyesho la kundi hili tarehe 22 July pale Salender Bridge,walichukua muda wao na kuwepo katika eneo la studio
Ruge akiwa na Babu Njenje |
Ruge na Waziri Ally |
Comments