Mayama Sound Band

Gerarld Kalembo Solo gitaa


Kassim Mafanya-Bass

Juma Yusuf-rithim gitaa

Mohamed Omari- gitaa


Jamila Mvule(Vocals), Arafat Joseph (Muimbaji na Rais wa Bendi), pembeni ni mpenzi wa bendi.
Nimeikuta Band hii ikipiga kwenye bar ya Red October Tabata, ni bendi iliyochanganyika vijana na wakongwe. Mpiga Bass gitaaKassim Mafanya aliwahi kupigia bendi ya Uhamiaji iliyokuwa na staili ya Hamahama. Mpiga rythm uma ni mdogo wake Mzee Makelo ambae alikuwa mpiga solo mahiri enzi za Butiama Jazz Band.

Comments