Mashauzi Classic Modern Taarab

Haya tena nimemkuta Bi Mashauzi Tabata, akiwa katika onyesho lililotayarishwa na promoter wa kike Sauda Mwilima, si mchezo, yeye ndiye muimbaji mkuu kwenye group, na anaimba na kucheza full time. Wasanii wengi hasa wakiwa maarufu hukwepa hilo na kuwaachia 'vijana' halafu mzee anakuja imba nyimbo mbili tatu halafu jiiiii. Big Up Isha endelea hivyo hivyo.







Comments