FM Academia yapata msiba mzito

Bendi ya FM Academia imepata msiba mkubwa baada ya kufiwa na meneja wao  Bonny Kasyanju ambaye aliyejulikana kwa wengi kama Uncle Bonny. Bonny ambaye mara nyingi alikuwa mlangoni katika maonyesho ya FM Academia amezikwa katika makaburi ya Kinondoni. Bonny alikuwa nguzo muhimu katika shughuli za FM Academia
Mungu amlaze pema peponi.
 Ameni

Comments