Bendi ya Wakongwe yaingia studio

Ikiwa chini ya udhamini wa Clouds Radio na TV, bendi ya wakongwe imeingia studio kurekodi nyimbo tatu. Kuanzia Jumatatu wanamuziki hawa wamekuwa Metro Studio chini ya fundi mitambo Allan Mapigo aka Ndimu wakirekodi nyimbo hizo,
1, Miaka 50 ya Uhuru
2. Kilimo kwanza
3.Tanzania Yetu Nchi ya furaha





Comments