Unataka kujifunza muziki?


Je ungependa kujua Kurekodi muziki, Kusoma Muziki, Kuandika Muziki, Kuimba na Kupiga Ala mbalimbali za kisasa za muziki ? Kama ndivyo, basi waone AlphaBeta Music Centre waliopo TABATA Liwiti mkabala na shule ya msingi au wasiliana nao kwa simu +255 754 77 66 40 au +255 784 737 216.  Usiikose fursa hii!!!!!

Comments

Wazo zuri sana mzee wangu. Mimi nataka kujua kinanda na gitaa kwa ajili ya familia yangu tu na wala sio kuja kuwa mwanamuziki kibiashara. Nitakutafuta.

Emmanuel
Anonymous said…
mwenyewe napenda kujifunza kupiga kinanda na kusoma noti
Unknown said…
nice,napendaga jua kupiga gitaa na piano,dsgn nimejaaliwa sauti ya dhahabu ivi.