African Stars Band "Twanga Pepeta" inataraji kufanya onesho pamoja na msanii Dully Sykes siku ya Jumapili Juni 12, pale Mbalamwezi Beach. Onyesho hilo la aina yake litaanza saa nne asubuhi kwa kuwa usiku Twanga Pepeta itakuwa katika ukumbi T.C.C Chang’ombe kama kawaida ambapo pia itawatambulisha vimwana kumi walioingia katika fainali za Kimwana wa Twanga Pepeta 2011
Comments