TOT Taarab wakiwa Copa Cabana

Mrembo Mwasiti alikuwa wa kwanza kupanda jukwaani katika onyesho la jana




Ukumbi wa Copa Cabana Mwananyamala huwa na shamrashamra kila Jumapili usiku kwa kuwa kundi zima la TOT Taarab hufanya maonyesho mahali hapa. Ukumbi huu ambao awali ulijulikana kama Wami Bar, umefanyiwa ukarabati mkubwa na kuupa hali ya kuwa kama kumbi maarufu za gharama ambazo hutajwa kila mara katika vyombo vya habari. Ngumu kuhadithia raha zilizopo hapa baada ya saa 6 usiku ni kujionea mwenyewe







Abdul Misambano kati ya wanamuziki walioitia sura mpya fani ya taarab


Comments