Nilipoingia tu katika ukumbi wa Mango Jumapili nilikaribisha na Bingwa wa salamu wa zamani ambae kwa muda mrefu amekuwa rapa katika bendi mbalimbali na sasa ameanza hata kuimba katika kundi hili la Schenge nae si mwingine ila ni Loboko Lobi Papaa
Mwendapole fundi mitambo karithi kipaji cha marehemu baba yake |
Rais wa Bendi Liva Hassan |
Comments