Mtangazaji maarufu apata tuition ya kuimba

ajMtangazaji maarufu wa Clouds TV Sakina Lyoka, alipita katika kambi ya wanamuziki wakongwe katika mizunguko ya kutengeneza documentary ya mazoezi ya wanamuziki wakongwe, alipokuwa huko alipata tuition ya kuimba toka kwa wakongwe King Kiki, Kasongo Mpinda, Kanku Kelly na John Kitime


Comments

Anonymous said…
waziriiiiiii hujiaminiiii? ananyonga huoyooo shauri yako.