Akudo Impact













Kila Ijumaa Akudo Impact huwa pale katika ukumbi wa Mango Garden Kinondoni, jana ilikuwa raha walifanya show yao na baada ya show walielekea Tanga ambako walitegemewa kupiga Jumamosi

Comments