Kwa wale wa Uingereza .............Kundi zima la Sakama live Show Band leo litakuweko katika ukumbi wa The Komedia, Brighton UK, Kuanzia Saa 1.30 na nusu usiku (7.30 pm), kiingilio ni £10/£12, kukosa ni kosa. Njoo uinjoy music na kukutana na marafiki
Comments
asante kwa kutuletea habari mbali mbali zihusuzo muziki na utamaduni kwa ujumla.Ombi au swali langu ni kutaka kujua hii bendi uliyotuonyesha hapa juu kuwa atapiga show yake London inaitwaje?na Je ni bendi ya kikongo au kitanzania ??na wanamuziki hawa ni akina nani??Maana naona umetuacha kwenye mataa kwa kuleta habari hii ikonyesha kuwa nusu nusu.asante
mdau.Bongo Land.