NGOMA AFRICA BAND YAANZISHA WEBSITE

Bendi ya Ngoma Africa ambayo imekuwa mwakilishi mzuri wa Afrika ya Mashariki katika maonesho na matamasha ya muziki Ulaya imeanzisha website kwa ajili ya wadau wa bendi ambao ni mimi na wewe  jionee mwenyewe HAPA

Comments