Mwimbaji Janet Jonas Mrema alizindua album yake yenye nyimbo kumi katika ukumbi wa Blue Pearl Hotel, Ubungo. Katika sherehe iliyofana ambayo mgeni wa heshima alikuwa Mheshimiwa Samwel Sitta(MB). Mheshimiwa Sitta amekuwa msaada mkubwa kwa wanamuziki wengi wa Muziki wa Enjili kwa miaka mingi sasa. Wasanii waliokuweko katika katika raha hiyo ni pamoja na The TM Music, Stella Joel, Addo November, Kanuni Kayombo Christina Shusho, Stara Thomas, Upendo Nkone na wengine wengi ilikuwa raha tu. | |
Christina Shusho, Upendo Nkone na Stara Thomas |
Upendo na Stara |
Mchungaji Rwegasira Shusho Mheshimiwa Sitta |
Kulia Janet Mrema |
Upendo, Shusho na Saida Mwilima mtangazaji wa Star Tv |
The TM Music Choir |
Picha ya pamoja |
Janet Mrema na Saida Mwilima |
Comments