DDC Kariakoo saa 5 usiku nililikuta kundi zima hili la Coast Modern Taarab lenye masikani yake Temeke likitumbuiza baada ya Msondo Ngoma kuwaachia jukwaa. Ni mara ya kwanza kukuta waimbaji wakike wa Taarab wakiwa wote wamesimama mbele ya Maikrofon, taarab inabadilika haswa.
Comments