Msondo Ngoma 'Baba ya Muziki' itaanza kufanya maonesho kila Jumapili katika ukumbi wa DDC Kariakoo badala ya ukumbi wa Max bar Ilala.
Onesho lao la kwanza katika ukumbi huo litakuwa Jumapili hii.
Kutakuwa na utambulisho wa nyimbo zao mpya mbili kwa mara ya kwanza ambazo ni Suluhu ulioimbwa na Shaaban Dede na mwingine utakaoimbwa na Hassan Moshi 'Tx Junior'.
Kila Jumamosi Msondo wanatumbuiza katika ukumbi wa Sigara uliopo Chan'gombe

|
Comments