|
Lulu Semagongo mshindi wa 2006 |
|
Halima Harun mshindi wa 2007 |
KAMPUNI ya Manywele kwa kushirikiana na The African Stars Entertainment wamezindua rasmi shindano la kumsaka Kimwana wa Twanga 2011. Shindano litatambulishwa rasmi Mei 6, 2011, katika ukumbi wa Club Sunciro Sinza Dar es Salaam. Mshindi kwenye shindano hilo safari hii atazawadiwa duka la vipodozi lenye thamani ya sh. Milioni 5. Form za ushiriki zinapatikana kila wanapopiga Twanga Pepeta, Steers, Duka la Manywele na ofisi za Aset Kinondoni. Hii itakuwa ni mara ya tatu shindano hili linafanyika.2006, 2007 na sasa 2011.
Comments