Kumburu na Tanzania Band

 
Level 8, Kempisky ndio mahala unaweza kuwakuta wanamuziki hawa, kila Ijumaa usiku. Pichani, ni wa kwanza Yona wa Tanzaniate Band aliyefika kuitembelea Band, Geophrey Kumburu(Mngoni Mjanja), mpiga keyboard wa miaka mingi ambae keshapitia bendi kama Vijana Jazz, Kilimanjaro Connection, In Africa Band, na kusafiri nchi chungu nzima duniani akipiga kinanda. Bonzo Kwembe ambae karibuni amerudi kutoka Muscat, mpiga gitaa mwenye experience kubwa

Comments