Kassim Mohammed "Super K" na Husna Idd au "Sajent" |
Mabinti 20 wameanza mazoezi makali kwa ajili ya mpambano wa Kimwana wa Twanga Pepeta 2011. Mazoezi hayo yako chini ya Kongozi wa shoo ya Twanga Pepeta Kassim Mohammed au "Super K" wakisaidiana na Matron Husna Idd au "Sajent" ambaye ni mshindi wa pili wa shindano la mwaka 2007.
Utambulisho wa washiriki unataraji kufanyika katika Klabu ya San Siro siku ya ijumaa ya tarehe May 3 2011, kukiwa na burudani itakayotolewa na 20% pamoja na Twanga Pepeta. Nusu Fainali itafanyika Ijumaa 27 May, 2011 katika Klabu ya San Siro na fainali zitakuwa Ijumaa 3 June, 2011.
Mabinti mazoezini |
Mugongomugongo |
Comments