Kila Jumapili mchana kunakuweko na kitu kinaitwa Bonanza pale Leaders Club. Bendi ya African Stars International, maarufu kama Twanga Pepeta ndo huwa inatumbuiza hapo kama kawaida huwepo wao na wapenzi wengine mbalimbali wa muziki
MCD |
Twanga kwa nyuma |
Victor Mkambi |
Shakashia na Luiza |
Kimobitel kamoon |
Zungu mcheza show wa Twanga amabaye ni mtoto wa mmoja wa wanamuziki wapiga gitaa wa Afro70. Salim Willis |
Kocha wa Dunia |
Rapaaaaaaaaaaaa |
Comments