The coming of the Synthesizer brought doom to blowing instruments in many of the Tanzanian Bands line up. Still bands like Msondo Group still have a strong blowing section, in the picture are the trumpetists Mnyupe and Romario in a show in Tanga

Comments

Patrick Tsere said…
John kama kuna jambo ambalo Msondo wananifurahisha ni kuwa na Brand yao. Hata nyinyi Njenje you are in the same league. The two of you have established an identity katika dunia ya muziki. You deliver mduara na akina Muhidini na wenzie wanadeliver msondo. Hiyo ndiyo maana ya kuwa na brand yenu wenyewe. Nilishangaa the other time nilipoenda msondo kukuta wako vijana ambao wenye umri wa miaka 25 hadi 35 wengi haswa. Sasa kama msondo ungekuwa ni muziki uliopitwa na wakati usingekuta hao vijana. Watu wanafuata brand. Ukitaka msondo unaenda iliko na uktaka mduara unaenda iliko njenje. Njenje Oyee, Msondo Oyee
Binafsi nilisikitishwa na marudio ya nyimbo za zamani za msondo ambazo zilirejewa kwa kutumia vinanda badala ya midomo ya bata na tarumbeta.
Lakini nawaheshimu wasanii woote wanaoendeleza zana halisi za kimuziki.
Hii Bongo Flava..... just full of waweka sauti kuliko wasanii