Old music adverts were very interesting. Newspapers were the only form of advertisement for music. and the coloured magazine technology had not arrived yet. This was an advert for the band Orchestra Maquis, which at that time had almost 50 members

Comments

Nakumbuka wakati nimeanza kufuatilia matangazo yao, nilikuwa nashangazwa saana na utayarishaji wao. Yaani suala la Graphic Design halikuwa akilini. Nakumbuka picha za kila msanii na zana yake. Wa Tarumbeta anayo, wa Sax anayo, wa Gitaa vivyo hivyo, waimbaji na mic zao.
Dah!! Sijui tumepoteza nini katika HISIA NA TOUCH YA MUZIKI NA WANAMUZIKI WETU????
Umenikumbusha mbaali sana Uncle
Asante
Lusajo said…
Mjomba hapa umenikumbusha mbali sana. Rafiki yako kipenzi alikuwa mpenzi sana wa haya mambo na mpaka leo kuna santuri zake nyingi na vipande vya matangazo alivyokuwa anatunza.

Please fanya mpango wa kunitafutia mashine ya kuchezea hizo santuri maana ni nyingi na nina hamu ya kusikia tena muziki wa miaka ile ilikuwa na ladha gani nikiwa na umri huu.
mwananjenje said…
Nikifika tu ntakwambia tuonane, nimenunua na software ya kuhamishia hizo santuri kwenye computer ili uzihamishie kwenye CD. Halafu lile feni nimepandisha juu, haliwezi kukukata tena shingo we njoo nyumbani