DR HARRISON MWAKYEMBE ATEULIWA KUWA WAZIRI MPYA WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO
Posted by
jfk
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
RAIS Dr John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri leo (23 Mar 2017) na kumteua Dr Harrison Mwayembe kuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo kuanzia leo. Waziri huyu anategemewa kuapishwa kesho.
Comments