PAYUS & MECRASS, WANAMUZIKI TOKA MWANZA WAACHIA KIBAO KIPYA Posted by jfk on June 09, 2016 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Kutoka Jijini Mwanza, vichwa viwili, Payusi na Mecrass ambao wanaunda kundi la "Payus & Mecrass" wameachiwa wimbo wao uitwayo Chausiku ambao kiukweli umepokelewa vyema na hakika unakonga nyoyo na masikio ya wapenzi wa muziki. Bonyeza Hapa Kusikiliza AU SIKILIZA HAPA Comments
Comments