HAJI MOHAMED MKURUGENZI WA EAST AFRICAN MELODY AFARIKI LEO Posted by jfk on April 15, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Haji Mohamed, Mkurugenzi wa East African Melody Modern Taarab amefariki asubuhi ya leo katika hospitali ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi. Taarifa za mazishi zitatolewa kadri tutakavyokuwa tunazipata. Mungu amlaze pema Comments
Comments